ADHARI ZA MATUMIZI YA MATE KATIKA VIA VYA UZAZI WA MWANAMKE
By -
November 27, 20193 minute read
0
Kabla sijaanza na madhara nianze na kuelezea kazi ya mate kinywani.
Mate ni mchanganyiko wa maji, uteute na kimeng'enya kinachofahamika kama *sarivary amylase* au *Ptyalin*
-Kazi ya maji yaliyo katika mate ni kuyeyusha chakula kinywani
-Kazi ya ute ni kulainisha chakula kiwe rahisi kumeza
-Kazi ya kimeng'enya (salivary amylase) ni kubadili wanga / kabohaidrete kuwa sukari rahisi *maltose*
Kwaiyo tunaona kazi kubwa ya mate ni kimeng'enya chakula.
Kinywa cha binadamu kimeundwa na mamia ya micro organism (oral micro vegetation) ambao ni rafiki kwa afya ya kinywa.
Pia katika mfumo wa uzazi wa wanawake kuna aina ya micro organism(lactobuciluss bacteria) pamoja na Fungus (candida albicans) ambao ni rafiki kwa mfumo wa uzazi wa mwanamke.
*Sasa tatizo hutokeaje?*
Unapochukua mate na kuyaweka katika uke wa mwanamke unahamisha bacteria wanaopatikana katika mdomo na kuwaleta katika uke.
Kumbuka hao ni aina tofauti za bacteria hivyo hawawezi kuishi pamoja matokea yake hukinzana na husababisha either wageni au wenyeji kudhoofika,
Wenyeji wanapodhoofika hufanya bacteria wageni kutawala eneo hilo na kwa kuwa micro organism hao sio eneo husika kwao kuishi huanza kuleta madhara makubwa katika uke na kupelekea aina mbali mbali za maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke.
Pia bacteria hao wakati mwingine huweza kuzoeana na kuzaa bacteria ambao ni chotara Ambao huwa wanaweza kuwa wapole au wakali sasa wakiwa wakali husababisha madhara makubwa wakati mwingine hupelekea kansa ya kizazi, uvimbe na magonjwa mengine ya mfumo wa uzazi.
Kumekuwa na malalamiko wanawake kadhaa ambao nimeweza kuongea nao kuhusiana na suala la matumizi ya mate.
Kumekuwa na matumizi yasiyo idhinishwa ya mate kwa wapenzi wengi. Wanaume wamekuwa wakitumia mate all through intercourse kwa kupaka earlier than kama kilainishi.
Kiukwel hili ni kosa la kiufundi.
Dada usikubal mumeo apake mate ndo aingize, ukiona anahitaj kupaka mate au mafuta ujue huyo anakubaka.
Sababu anakuwa hajakuandaa kiasi cha kutosha wewe kuingilika.
*Kwani ana haraka za nini?*
Alikuwa jela au?*
Sehem za siri za kiume na za kike zimeundwa maalum na vilainishi vyake vya kiasili authentic na visivyo na madhara.
Ukiona mwanamke ameloana sehemu zake za siri ujue huyo sasa yupo tayari na anakukaribisha uingie, Ni kwamba ameshakufungulia mlango we ingia tu.
Lakin unapokuta kukavu ujue kuwa unambaka na hayupo tayari. Na hii ni pia kuwafundisha akina kaka kuacha ujinga eti wanataka Uke mkavu😨
We una akili kweli?
Kiasili uke umeumbwa inapokuwa tayari kuliwa iwe imeiva vizuri basi inakuwa na ute ute mlaini ili kuondoa michubuko au misuguano.
Sasa unaposema kuwa unataka uke mkavu unakuwa huelewi unachozungumza kiuhalisia.
Wadada msikubali uke kuwa mkavu wakati wa kuliwa ndo mwanzo wa kuambukizwa magonjwa maana husababisha michubuko.
Kuna jamaa yangu nilimfundisha jambo hili na lilimsaidia asipate ukimwi baada ya kutembea na dada mmoja aliyeathirika bila kinga 2 times.
Tabia ya kupaka mate imekuwa ikiwatia kichefu chefu wanake wengi maana inafikia wanaume wengine huweka hata makohozi. Wanaume tuacheni mambo haya tunakuwa hatuwatendei haki wanawake binafsi napenda kuloane mpaka hata maji yamwagike kuloane hasa chapa chapa.
Sasa wewe kazana kutafuta kavu.
Ntakuja kuwaeleza akina dada nini kinasababisha ukavu ukeni na nini kifanyike badala ya mate.
*Tahadhari* mwanamke usijizuie kumwaga maji au kutoa maji kwa kuogopa mwanaume atasema una maji mengi acha huo ujinga. Jiachie mwaga hata kuloanisha godoro kama hajui uthamani wa kitendo hicho achana naye huyo ni mbakaji tu.
Nimeandika kwa hisia kidogo kutokana na mate huchangia kwa kiasi kikubwa sana wanawake kupata maambukizi ya fangas na bacteria ya mara kwa mara bila kujua kama wakati mwingine chanzo ni mimate inayotoka kwenye vinywa vyenye fangasi.
Wakati mwingine wadada wenyewe huwa mnapenda hicho kilainishi si kizuri kuweni makini na afya za hizo starehe zetu 🤓🤓
Ahsante kama nimeeleweka.