# mapinduzi cup 2024 simba imetinga fainali za kombe la dunia baada ya kwenda sare ya 1-1 hadi dakika ya 98 goli pekee la simba likifungwa dakika ya 98 na mchezaji fabric ngoma kupelekea miamba hiyo kwenda kwenye matuta na kuibuka washinda wa penati 3-2 dhidi ya singida fountain gate hii leo 10-01-2024